Kwa mpenziMaisha / November 12, 2023 / Leave a Comment Macho yangu yanatamani yakuone ,Mdomo Mwangu unatamani ukubusu. Mikono yangu yatamani ikukumbatia.Mpenzi hata kama upo mbali nami bado nipo kwa ajili yako . I Miss You Share to WhatsApp