MAJINA YA UKOO/NASABA

MSAMIATI WA UKOO         Msamiati wa ukoo ni majina wanayoitana watu walio na uhusiano wa kidamu au watu walio katika familia moja.Ukoo pia huitwa nasaba ,mlango au jamaa. Utamaduni wa Mwafrika umejaa heshima na adabu .Hivyo basi,watu mbalimbali katika jamaa huitana majina maalum kudhihirisha heshima na adabu. Yafuatayo ni majina ya ukoo: …

MAJINA YA UKOO/NASABA Read More »