METHALI HALISIA

METHALI HALISIA


hotuba,wema sepetu,sarah wa harmonize,hamisa mobeto new song,barnaba classic new song,giggy money new song,ali kiba new song,rich mavoko new song,harmonize,song,kiswahili,new,diamond,uokovu,injili,kanisa,maisha,yesu,insha,rayvany



Hizi ni methali zinazomwelekeza mtu kuhusu hali fulani ya kimaisha.

Maisha ni ahadi, itimize
Maisha ni fursa, itumie.
Maisha ni zawadi, ipokee.
Maisha ni tatizo, litatue.
Maisha ni jasiri, jasurika.
Maisha ni ubishi, yakabili.
Maisha ni kiwambo, yatazame.
Maisha ni bahari, yaogelee.
Maisha ni mazoea, yazoee.
Maisha ni stara, staarabika
Maisha ni fumbo, lifumbue.
Maisha ni mchezo, ucheze
Maisha ni mapambano, pambana nayo
Maisha ni safari kamilisha.
Maisha ni lengo, lifikie.
Maisha ni msiba, uweze
Maisha huzuni, yashinde.
Maisha ni moshi, yafushe.
Maisha ni mgomba, yapalilie.
Maisha ni uzuri ustarehee
Maisha ni mwendo, yaendee
Maisha ni wimbo, uimbe.
Maisha ni maumbile, changamkia.
Maisha ni ureda, furahia,
Maisha ni liwazo, yapumzikie
Maisha ni wajibu, tekeleza.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *