- Moyo
kupapa papapa - · Jaza
pukupuku - · Timka
timtim – nywele zilimtimka timtim - · Chanika
chanechane - · Koma
komekome - · Chanua
chanuchanu - · Mambo
kuvurugika vuruguvurugu - · Tokwa
na jasho jekejeke - · Fafanua kinaganaga/kinagaubaga/kimasomaso
- · Gugumiza
gugugu - · Batana
batabata - · Moyo
kudunda dududu - · Maskini
hohehahe/hahehohe/kupindukia - · Tafuna
tafutafu - · Tetwereka
tepweretepwere - · Kamata
patupatu - · Penya
fya - · Saga
tikitiki - · Bung’aa
ng’aa - · Miminika
bwaibwai - · Zama
zii - · Saa
hukiriza kirikiri - · Rarua
raruraru - · Pasuka
paa - · Dondoka
machozi ndondondo - · Enea
vururu - · Chinja
chwa - · Potea
potopoto - · Mulika
mwaa - Mchuzi
rojorojo / rikoriko / shatashata
- Imara hadidi au mzima hadidi
- Bweka bwebwebwe
- Kimbia pukutupukutu
- Tega sikio nta (bila makini)
- Baridi shadidi
- Lowa chapachapa/chepechepe/lovulovu
- Anguka (matopeni) tapwi
-
Nuka fee/mffTeketea teketeke
-
Kufa pukupuku – kufa kwa wing
-
Jaa
(bidhaa)- kochokocho
-
· Eusi
tititi/ti/pi· Funika/tanda-gubigubi/kubikubi· Kuwa
na furaha mpwitompwito/riboribo· Lewa
chopi/leuleu/chakari/hoihoi/chordo· Taabu
zimetukusa kusikusi· Tepetea
tepetepe· Piga
ngoma dedede· Nyenyereka
nyenyerenyenyere· Kata
ubao kekeke· Chaga
ngungundu· Mwaga/mwaika
mwa· Shusha
(pumzi)- shu / hufyu· Ng’ang
ania kukut -
· Choka
tiki/(hoi bin tiki)
Anguka (tawi) kach
Anguka (nchi kavu) pu
- Washa waa
- Ponea chupuchupu/koskokosko
- Ganda gagaga
- Chefuka moyo chefuchefu
- · Shughulika karakara
- Regea regerege/chegechege /kejekeje
- Chemka chemchem
- Kwajuka kwajukwaju
- Shikilia kikiki
- Tokota tokotoko
- Momonyoka momonyomomonyo
- Chekecha chekecheke
-
· Duwaa waa· Fyeka
fye· Kuwa
na huzuni mpwitompwito· Maliza
(chakula) fyu· Mjanja
janjarujanjaru· Sawasawa
bambamu· Saa
hulia tik tik/tik tok· Vuma
vuuvuuvuu· Ibuka
vu· Kengele
hukiliza kilikili· Raruka
rwa/rwe· Sikupi
ng’o· Nyoka
twaa· Kufa
fefefe/fofofo/foo-kufa kabisa· Jaa
(watu)/sisisi· Jaa
(maji)/furifuri/pomoni/topi· Eupe/pe/pepepe· Pukuta/pukutika
kupukupu· Giza/kiza
totoro/shododo· Tega
ndi (kwa makini)· Lia
kwikwikwi/kwitikwiti· Rowa
rovurovu· Anguka
(majini) chubwi· Anguka
(mchangani/changaraweni) tifu· Anguka
(sarafu – shilingi) tang· Tulia
tuli· Bwakia
bwakubwaku· Bwatika
bwata· Kauka
kaukau· Chomoka
chapuchapu· Vunjika
kenyekenye/keche/kechekeche/kacha· Bebwa
kindakindaki/hangahanga/kitikiti/juujuu/hainehaine